··· audio files/recordings ···
Heri za Siku ya Mama! = Happy Mother's Day!
[metaphrase = "Blessedness for Day of Mother(s)!"]
A weeklong observance [B1/B2] - website
Eid al-Fitr = Idi al Fitri
No liability!  

1) Drinking Water Week [in the USA]      [- website]
= Wiki ya Maji ya Kunywa [Marekani]
[metaphrase = "week of water for drinking"]
[the first full week in May: May 7-13]
= [Wiki kamili ya kwanza, mwezi Mei: Mei saba mpaka kumi na tatu]

National Emergency Medical Services Week [in the USA]      [- website]
= Wiki ya Taifa ya Huduma za Dharura za Kidaktari [nchini Marekani]
[May 21 through 27]
= [Mei ishirini na moja hadi ishirini na saba]
painting

Karibuni !
Welcome !

pic
painting

Linguistic Level: A2/B1


Linguistic Level: B1/B2
Some monthlong observances in May/(June)
(1) International Victorious Woman Month
= Mwezi wa Kimataifa wa Mwanamke Mshindi
[metaphrase: "month of internationally of woman victorious"]
   [https://www.stress.org/](2) Better Sleep Month = Mwezi wa Usingizi Bora
[literally = "month of sleep better"]
[https://bettersleep.org](3) National Smile Month [in the UK]
=
Mwezi wa Taifa wa Tabasamu [nchini Uingereza]
[literally = "month of nation of smile"]
[May 15 to June 15]
[Mei kumi na tano hadi Juni kumi na tano]
[https://www.dentalhealth.org/about-national-smile-month]

 for advanced learners [B2/C1]
(1) The year 2023
(a) International Year of Millets      
= Mwaka wa Kimataifa wa Mitama
[- websites: UNO /// FAO ]
(b) International Year of Dialogue as a Guarantee of Peace      
= Mwaka wa Kimataifa wa Mazungumzo kuwa Dhamana ya Amani
[website: UNO]

(2) Some Decades
(a) 2022-2032: International Decade of Indigenous Languages      
= Muongo wa Kimataifa wa Lugha za Kienyeji

(b) 2021-2030: Second Decade of Action for Road Safety      
= Muongo wa Pili wa Harakati za Usalama Barabarani
[- website/source]


Guided Website Tour: Presenting "kiswahili.net", the informative Website pertaining to East and Central Africa
This presentation encompasses 17 representative pages. You can stop it e.g. by clicking on any link!


All proprietary content on this Website: