(1) daktari
a) madaktari mawili
b) madaktari wawili
c) madaktari mbili (2) jirani
a) jirani letu
b) majirani wetu
c) jirani yetu (3) kirusi
a) kirusi cha hepatitisi
b) virusi wa hepatitisi
c) kirusi vya hepatitisi | | (4) shemeji
a) hii ni shemeji ya John
b) huyu ni shemeji ya John
c) hawa ni mashemeji za John (5) mke
a) huyu ni mke wangu
b) yule ni mke wa dereva
c) wake zenu wako wapi (6) Mungu
a) waungu wetu
b) msiwe na miungu mingine
c) Mungu ya ... | | (7) rafiki
a) marafiki zangu
b) rafiki wangu
c) rafiki zangu (8) shule
a) shuleni kuna watu wengi
b) mashule zote mazuri
c) mashuleni kuna watu wengi (9) jambazi/kitoto/konokono
a) jambazi hili
b) kitoto hiki
c) konokono hili
|