Touch this line to
retrieve the ANSWERS!

majibu ya zoezi

(1) SAWA
(2) Watoto wako peke yao.
(3) Tanzania kuna watu wengi sana.
(4) SAWA
(5) SAWA
(6) SAWA
(7) Milango na madirisha havitoshi.
(8) SAWA
(9) Mkurugenzi alifika (kutoka) mjini.
(10) SAWA

Unaendeleaje?

 

Correct/Incorrect

Tier 3: Very Advanced (only for professionals!)
Subject: Grammar/Phrases
Each correct answer will increase your score by one point.

Una sekunde 60 kusema kama sentensi zifuatazo sawa au si sawa!
(1) Kiswahili ni lugha ya kimataifa.
(2) Watoto ni peke yao.
(3) Tansania kuna watu wengi sana.
(4) Tusinunuliwe kitu.
(5) Uwe unachemsha maji.
(6) Tutaondoka kwenda Kenya tarehe saba Agosti.
(7) Milango na madirisha haitoshi.
(8) Twendeni kucheza mpira.
(9) Mkurugenzi alifika kutoka mji.
(10) Mwalimu yukoje?