Main Tenses

Swahili Grammar

The Four Main Tenses for Verbs (including monosyllabic verbs)
Tier 2: Upper Intermediate
Click on the gaps in order to start writing! (Access to first gap also via: "Alt + m".
Of course you can also use the tab key to move from gap to gap.)


(1) Leo sisi (kufanya) mazoezi.
(2) Juzi mimi (kuandika) barua.
(3) Kesho kutwa mimi (kusoma) kitabu cha Kiswahili.
(4) Mimi na mke/mume wangu (kwenda) Tanzania mwaka kesho.
(5) Wewe na mtoto (kuondoka) lini?
(6) Mwanafunzi sasa (kupenda) sana (kujifunza) Kiswahili.
(7) Kesho Robert na Maria (kuja) nyumbani.
(8) Mimi kwa sasa (kuwa) mshauri.
(9) Kwa nini mwalimu leo (kutotaka) kuandika kitu?
(10) Kwa nini wewe na mwanafunzi sasa (kutokula) wali?
(11) Juzi Bwana Jumbe (kuwa na) mafua.
(12) Je, wewe leo (kutokuwa na) hela?