Mbili mara saba ni:
- kumi na nne
- nne na kumi
- ishirini na nne
- thelathini
Mia toa sabini ni:
- arobaini na saba
- thelathini
- themanini
- sabini
Kama leo ni tarehe ishirini na tano, jana ilikuwa tarehe ngapi?
- tarehe nne
- tarehe kumi na nne
- tarehe ishirini na nne
- tarehe ishrini na nane
Watoto watatu na watoto watano ni watoto wangapi?
- watoto nane
- watoto wanne
- watoto watano
- watoto wanane
Arobaini ongeza hamsini ni:
Kama jana ilikuwa tarehe kumi na tisa, kesho itakuwa tarehe ngapi?
Nyumba mbili na nyumba tatu ni nyumba ngapi?
- nyumba tano
- nyumba ntano
- nyumba tatu
- nyumba nne
Mia (moja) mara elfu moja ni ngapi?
- elfu (moja)
- laki (moja)
- milioni (moja)
- tisini na moja
Laki moja toa elfu tisini ni:
2006 + 2994 =
- laki tano
- elfu nane
- milioni kumi
- elfu tano
1205 + 2564 =
- elfu tano mia saba sitini na tisa
- elfu tatu mia saba sitini na tisa
- elfu tatu mia saba tisini na sita
- elfu tisa mia saba sitini na tisa
1.56 mara 2.56 ni:
- karibu mia
- karibu sita
- karibu kumi
- karibu nne
nusu ongeza robo ni:
nusu toa nusu ni:
robo ongeza robo ni:
robo tatu ongeza robo ni:
Sifuri mara milioni ni:
Vitabu kumi na vitabu viwili ni:
- vitabu kumi na viwili
- vitabu kumi na tatu
- vitabu mia na viwili
- vitabu kumi
magari manne na magari mawili ni:
- magari masita
- magari tisa
- magari sita
- magari matisa
Kama juzi ilikuwa tarehe kumi na tisa, kesho kutwa itakuwa tarehe ngapi?
- tarehe ishirini
- tarehe ishirini na tatu
- tarehe ishirini na tano
- tarehe ishirini na nne
Mwezi wa kumi na mbili una siku ngapi?
"Jina langu .... ni Maria na la ukoo ni Williams."
- la kwanza
- ya kwanza
- la mwisho
- la ukoo
"the second book" =
"the first people" =
"the last weeks"
"the penultimate page" =
- ukurasa wa kutoka mwisho
- ukurasa wa mbili kutoka mwisho
- ukurasa wa pili kutoka mwisho
- ukurasa pili kutoka mwisho
"the 3rd and last station" =
- stesheni tatu na ya mwisho
- stesheni ya tatu na ya mwisho
- stesheni ya tatu na mwisho
- stesheni ya tatu ya mwisho
Kumi na tatu mara tano ni:
"at 2:25 p.m." =
- saa nane na dakika ishirini na tano
- saa nne na dakika ishirini na tano
- saa tisa kasoro dakika ishirini na tano
- saa mbili na dakika ishirini na tano
Ishirini na tatu toa kumi na saba ongeza hamsini ni: