Phrases,

Numbers and Dialogues
English - Swahili

Greeting People
EnglishSwahili
Hello!
How are you?
- Habari gani? [response: "Nzuri!"]
- Hujambo? [response: "Sijambo"]

Introductions
EnglishSwahili
My name is ...
What's your name?
I come from ... England/the USA/Australia.
I'm ... [a tourist/an adviser]
I'm ... [an American/a Briton]
I'm ... [a Dutchman, -woman]
I'm ... [a Frenchman, -woman]
We are ... [Americans/Britons]
This is my ... [husband/wife]
This is my ... [friend]
I live ... (in Nairobi)/(at home)
I'm not ...
We're not ...
- Jina langu ...
- Jina lako nani?
- Natoka ... Uingereza/Marekani/Australia.
- Mimi ni ... [mtalii/mshauri]
- Mimi ni ... [Mmarekani/Mwingereza]
- Mimi ni ... [Mholanzi]
- Mimi ni ... [Mfaransa]
- Sisi ni ... [Wamarekani/Waingereza]
- Huyu ni ... [mume/mke] ... wangu.
- Huyu ni ... [rafiki] ... yangu.
- Nakaa ... (Nairobi)/(nyumbani)
- Mimi si ...
- Sisi si ...

Language Proficiency
EnglishSwahili
Do you speak English/French?
Could you speak slowly, please!
I speak very little Swahili.
Could you repeat that!
What's the meaning of "matata"?
"matata" means "problems"
What's this?
I didn't understand (you).
I've understood.
I don't know.
- Unajua Kiingereza/Kifaransa?
- Tafadhali sema pole pole!
- Najua Kiswahili kidogo tu.
- Tafadhali rudia!
- "matata" maana yake nini?
- "matata" maana yake "problems"
- Hiki ni kitu gani?
- Sijaelewa.
- Nimeelewa.
- Sijui.

On the Way
EnglishSwahili
Where is ... [the station]/[the Post Office]?
Where can I find ...?
Where can I find taxis?
Where can I make phone calls?
I would like to go to ...
Where's the toilet?
I missed my flight.
- [Stesheni]/[Posta] ... iko wapi?
- Wapi kuna ...?
- Wapi kuna teksi?
- Wapi mtu unaweza kupiga simu?
- Nataka kwenda ...
- Choo kiko wapi?
- Nimekosa ndege.

Bidding Farewell
EnglishSwahili
Good-bye!
I wish you (singular) ... [a nice evening].
I wish you (plural) ... [a nice weekend].
See you ... [later/tomorrow].
- Kwaheri(ni)!
- Nakutakia ...[jioni njema]
- Nawatakia ...[wikendi njema]
- Tutaonana ... [baadaye/kesho]

Miscellaneous
EnglishSwahili
Yes/No
I would like ...
Could you help me, please?
May I ask you something?
Thank you (very much)!
You're welcome!/Not at all!
Please, ...
- Ndiyo/Hapana
- Ningependa ...
- Naomba unisaidie!
- Naomba kuuliza!
- Asante/ni (sana)!
- Karibu!
- Tafadhali ...

Next ...

Swahili - English
Welcoming People
SwahiliEnglish
Karibu(ni)!
Karibu(ni) ndani!
- Welcome!
- Come in!

Personal Particulars
SwahiliEnglish
Jina lako nani?
Unatoka wapi?
Mnatoka wapi?
Habari za watoto?
Mimi ni ... Mtanzania/Mkenya.
Wewe ni ... Mwingereza/Mmarekani?
Unakaa wapi?
Umeoa?
Umeolewa?
Una watoto?
Utafanya kazi wapi?
Nafurahi kukufahamu!
- What's your name?
- Where do you [singular] come from?
- Where do you [plural] come from?
- How are the/your children?
- I'm a ... Tanzanian/Kenyan.
- Are you ... British/American?
- Where do you live?
- Are you married? [men]
- Are you married? [women]
- Have you got any children?
- Where will you work?
- I'm pleased to meet you!

On The Way
SwahiliEnglish
Unataka kwenda wapi?
Nenda moja kwa moja!
Sasa tunaondoka.
Panda/Pandeni!
Safari njema!
- Where would you like to go?
- Go straight on!
- We're leaving!
- Get in please!
- Have a nice trip/journey!

Miscellaneous
SwahiliEnglish
Ngoja kidogo!
Ungependa nini?
Oh! Unasema Kiswahili kizuri sana!
Sijui.
Karibu tena!
Samahani!
Si kitu!
Sawa!
Basi ...
Nikusaidie nini?
Umeelewa?
- Just a moment, please!
- What would you like?
- Oh! You speak very good Swahili!
- I don't know.
- Do come again!
- I'm sorry!
- It's OK!
- OK!
- So, OK ...
- What can I do for you?
- Did you understand?